![]() |
Msitu wa Kagunga uliopo kijiji cha Kagunga kata ya Kasekese wilaya ya Tanganyika mkoa wa Tatavi zimepigwa na Mawiti |
![]() |
Ufukwe wa bahari ya jange kata ya Kitumbikwela Halmashauri ya Manispaa ya LINDI, ni maarufu kwa kiliomo cha zao la mwani zimepigwa na Wawawa |
![]() |
Bonde la mpunga katika kijiji cha Ifinsi Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi,maji hutiririka msimu wote wa mwaka imepigwa na Paulogchomba |
![]() |
Hapa ni Tarime vijijini-Mkoa wa Mara picha na aboy |
![]() |
Ufukwe wa bahari ya Lindi mjini Picha na Wawawa |
![]() |
Bonde Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya na Mbarali picha na Ndemba - MOI |
![]() |
Mazingira kutoka Hifadhi ya mto Ugalla unapotikana wilayani Kaliua Mkoa wa Tabora |
Mazingira yetu ni uhai wetu #nemctanzania #mazingirachallengetz
JibuFutaTanzania yetu mazingira yetu #sisinitanzania #nemctanzania #mazingirachallengetz
JibuFuta