Akifungua Kikao hicho, Februari 3, 2026, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Bw. Dickson Mjinja kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu Dkt. Immaculate Sware Semesi aliwashukuru washiriki wote kwa kujitoa na kufika kwa wingi ili kufanikisha dhumuni la Kikao hicho muhimu chenye tija katika Utekelezaji wa majukumu ya Baraza.
NEMC NA TAASISI ZA KISERIKALI NA ZISIZO ZA KISERIKALI WAFANYA MAPITIO YA MPANGO KAZI WA BARAZA
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na wadau kutoka taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali wameshirikiana kutoa maoni kwenye Mpango mkakati mpya (Strategic Plan) wa Mwaka 2026/2027-2030/2031 ikiwa ni hatua mojawapo ya kuhakikisha utendaji kazi wa Baraza wenye tija na manufaa kwa muktadha wa utunzaji wa Mazingira.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
𝗡𝗘𝗠𝗖 𝗬𝗔𝗞𝗜𝗙𝗨𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗦𝗔𝗡 𝗦𝗛𝗔𝗡 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗜-𝗟𝗬 𝗣𝗔𝗣𝗘𝗥 𝗖𝗢. 𝗟𝗧𝗗 𝗠𝗞𝗨𝗥𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗨𝗞𝗪𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗜𝗡𝗚𝗜𝗥𝗔
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekifungia kiwanda cha SAN SHAN na BAI-LY PAPER CO. LTD kwa kukiuka sheria na ...
-
Ni katika kufanya tathmini na kuimarisha umoja. Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Makao Makuu na k...
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linashiriki Mkutano wa Saba (07) wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira (07th Unit...
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kusini tarehe 15 Novemba 2025 lilishiriki kusimamia na kushuhudia Uteke...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni