Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Warsha ya kujadili namna bora ya urejeshwaji wa mifumo ikolojia ya matumbawe iliyofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 16-17 Septemba 2025.
NEMC imewakilishwa na Meneja wa Tafiti za Mazingira (NEMC), Dkt. Rose Sallema Mtui, ambaye pia ni Mratibu wa Kikosi kazi cha Taifa cha kuhifadhi na kutunza matumbawe.
Kikao hicho kimeratibiwa na shirika la Uhifadhi Mazingira la “The Nature Conservancy”
Meneja wa Tafiti za Mazingira (NEMC) Dkt. Rose Sallema akiwasilisha mada katika Warsha hiyoBaadhi ya washiriki wa Warsha hiyo wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika Warsha hiyoBaadhi ya wawasilishaji wakiwasilisha mada katika Warsha hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni