Nyumbani

𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔-𝗞𝗢𝗡𝗚𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗟𝗔 𝗔𝗡𝗪𝗔𝗡𝗜 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗡𝗘𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝗧𝗘𝗞𝗡𝗢𝗟𝗢𝗝𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗨𝗗𝗨𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗣𝗢𝗦𝗧𝗔 𝟮𝟬𝟮𝟲

Elimu ya Mazingira ikiendelea kutolewa kwa wadau waliotembelea banda la NEMC katika Kongamano la Mwaka la Anwani za Makazi na Maonesho ya Teknolojia ya Huduma za Posta 2026 linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.

Maonesho hayo yenye kauli mbiu isemayo "𝘼𝙣𝙬𝙖𝙣𝙞 𝙈𝙖𝙝𝙞𝙧𝙞 𝙣𝙖 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙞𝙛𝙪 𝙬𝙖 𝙃𝙪𝙙𝙪𝙢𝙖 𝙯𝙖 𝙋𝙤𝙨𝙩𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙐𝙠𝙪𝙖𝙟𝙞 𝙅𝙪𝙢𝙪𝙞𝙨𝙝𝙞" yanatarajiwa kuhitimishwa rasmi Februari 8, 2026.










Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

𝗡𝗘𝗠𝗖 𝗬𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗚𝗥𝗘𝗘𝗡 𝗦𝗨𝗠𝗠𝗜𝗧 𝟮𝟬𝟮𝟲

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekutana na ujumbe wa waandaaji wa Tanzania Green Summit (TGS), inayotarajiwa ...