Nyumbani

NEMC YASHIRIKI MKUTANO WA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WILAYA YA KINONDONI KATIKA VIWANJA VYA NYAKASANGWE

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika mkutano wa kusikiliza kero na malalamiko ya wananchi wa Wilaya ya Kinondoni, uliofanyika katika viwanja vya Nyakasangwe.

Mkutano huo umeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, pamoja na Mkuu wa wilaya  na viongozi wa Tasisi za Umma na wananchi wa Manispaa ya kinondoni






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

TIMU YA UKAGUZI WA MAZINGIRA KUTOKA NEMC MAKAO MAKUU NA KANDA YA ZIWA VICTORIA MASHARIKI WAADHIMISHA MEIMOSI 2026 KWA KUPANDA MITI MAKUMBUSHO YA MWL. JULIUS K. NYERERE, BUTIAMA

Timu ya watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wanaofanya ukaguzi wa mazingira katika mikoa ya Kanda ya Zi...