Nyumbani

NEMC IMEADHIMISHA MIAKA 40 TANGU KUANZISHWA KWAKE MWAKA 1986

 Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Mei 29, 2026  limeadhimisha miaka arobaini (40) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1986.

Maadhimisho hayo yamewakutanisha Viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania pamoja na wadau kutoka taasisi za umma na binafsi pamoja na mabalozi wa Mazingira ambayo yamekuwa jukwaa muhimu la kubadilishana uzoefu katika suala zima la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira.

Akizungumza katika Maadhimisho hayo, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi alisema miaka arobaini (40) ya NEMC ni hatua mpya ya kutekeleza majukumu kwa nguvu mpya na ufanisi, amesema katika miaka yote hiyo Baraza limejufunza, limeimarika na lipo tayari kuendelea kulitumikia Taifa kwa weledi na uzalendo.






































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

𝗡𝗘𝗠𝗖 𝗬𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗚𝗥𝗘𝗘𝗡 𝗦𝗨𝗠𝗠𝗜𝗧 𝟮𝟬𝟮𝟲

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekutana na ujumbe wa waandaaji wa Tanzania Green Summit (TGS), inayotarajiwa ...