NEMC Kanda ya Bagamoyo imeshiriki uzinduzi wa ' Balozi Batilda Environment Day' inayolenga kuhakikisha usafi wa mazingira unakuwa sehemu ya maisha ya kila siku, uzinduzi huo umefanyika Oktoba 3, 2026 huku ukimbatana na zoezi la usafi lililoongozwa na Mkuu wa Mkoa Balozi Dkt Batilda Burian katika eneo la Tangamani Jiji la Tanga. Katika zoezi hili NEMC imetoa cheti cha pongezi kwa Ndugu Mohamed Ally Hilali kwa kutambua mchango wake katika utunzaji wa mazingira na Usafi Jiji la Tanga.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
NEMC, TNBC NA TPSF ZAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA ZA EIA KWA WAWEKEZAJI
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekutana na Kiongozi wa Tanzania National Business Council (TNBC) pamoja na Ra...
-
Ni katika kufanya tathmini na kuimarisha umoja. Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Makao Makuu na k...
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linashiriki Mkutano wa Saba (07) wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira (07th Unit...
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kusini tarehe 15 Novemba 2025 lilishiriki kusimamia na kushuhudia Uteke...
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)



.jpeg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni