Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yusuf Masauni azuru Banda la NEMC wiki ya Maonesho ya kuelekea Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi tarehe 1 Juni 2026 ambapo kilele cha Maadhimisho hayo ni tarehe 5 Juni 2026 huku yakibeba Kaulimbiu "Dira 2050 - Tuwajibike Kukijanisha Tanzania"
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
𝗡𝗘𝗠𝗖 𝗬𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗚𝗥𝗘𝗘𝗡 𝗦𝗨𝗠𝗠𝗜𝗧 𝟮𝟬𝟮𝟲
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekutana na ujumbe wa waandaaji wa Tanzania Green Summit (TGS), inayotarajiwa ...
-
Ni katika kufanya tathmini na kuimarisha umoja. Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Makao Makuu na k...
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kusini tarehe 15 Novemba 2025 lilishiriki kusimamia na kushuhudia Uteke...
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linashiriki Mkutano wa Saba (07) wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira (07th Unit...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni